Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akifungua pazia kuashiria  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za...

View Article


MILIONI 900 ZANUSURU KAYA MASIKINI WILAYANI MUFINDI KWA KIPINDI CHA MIEZI 08

Zaidi ya shilingi milioni 900.6 zimetolewa kwa kaya masikini zipatazo elfu 07  Wilayani Mufindi, ikiwa ni kipindi cha miezi 08tangu kuasisiwa kwa mpango wa miaka 03wenye lengo la kuzinusuru kaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YAFUNGA UTETEZI KATIKA KESI YA KUPINGA UBUNGE...

Na Gabriel Kilamlya NjombeMahakama Kuu Kanda ya Iringa Mjini Njombe Leo Imefunga Ushahidi wa Kesi Namba 6 ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 Nafasi ya Ubunge Kwa Mashahidi Wawili wa Upande wa  Serikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA LAPUNGUA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha  bungeni   Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi  ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2016/2017.Waziri wa Nchi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR. SHEIN KUONGOZA KAMATI MAALUM YA NEC ZANZIBAR

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar, kesho (Aprili 23, 2016) inatarajia kukutana chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein.Kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ALITAKA TAMASHA LA KRISMASI, PASAKA MIKOA YA KUSINI

NA MWANDISHI WETU, DODOMAWAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, amemuomba Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka Alex Msama, kupeleka huduma hiyo katika mikoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGULI WA MUZIKI TOKA CONGO PAPA WEMBA AFARIKI DUNIA wakati akitumbuiza IVORY...

Papa Wemba akiwa jukwaani kwa mara ya mwisho jijini Abidjan, Ivory Coast, usiku wa kuamkia.Papa Wemba aanguka na kupoteza fahamu katikati ya onesho.Wafanyakazi wa huduma ya kwanza wamepanda jukwaani....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI MKOA WA KILIMANJARO LANASA BHANGI MISOKOTO 4500,BASTOLA...

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,kamishna msaidizi ,Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto ya Bhangi iliyokamatwa baada ya wahusika kufanikiwa kuwakimbia askari Polisi.Kamnad wa Polisi mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AREJEA NCHINI AKITOKEA CHINA

  Mwenyekiti a CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete akiwa na Katibu wake, Suleiman Mwenda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo akitokea chini China alikokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK MAGUFULI ATUMBUA MAJIPU TCRA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU ZA MPIRA WA PETE NA MIGUU ZA BUNGE ZAPONGEZWA KWA KUFANYA VIZURI...

Naibu Spika Mhe. Dkt. Tulia Akson akitoa maelekezo wakati wa mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma.Mbunge wa Viti Maalum Tabora mjini Mhe. Mwanne Nchemba (CCM) akichangia hoja wakati kujadili hoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma wakati akitokea mjini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MSEMWA ADVOCATE NJOMBE YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA...

Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Edwin Mwanzinga Akipokea Msaada wa Madawati Toka Kampuni ya Msemwa Advocate Leo Katika Ofisi za Halmashauri ya Mji wa Njombe Zilizopo Lunyanyu.Mwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU WATATU WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUWAWA MKOANI MBEYA

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya  Butusyo Mwambelo akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya  (Hawapo pichani)katika kuzngumzia tukio la kuuwawa kwa majambazi watatu wakati wakijaribu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA WAWILI WA UJAMBAZI wanaodaiwa KUUWA NJOMBE WAUWAWA IRINGA JIONI YA...

Posted by mzee wa matukiodaima habari bila uoga at 30.4.16   WATU wawili wanaosadikika kuwa ni majambazi ambao wametokea Njombe wameuwawa katika majibizano ya risasi na polisi baada ya kuvamia Pub ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO HUU UNAWATAKIA WAFANYAKAZI WOTE MEI DAY [MEI MOSI] NJEMA YA 2016

Mmiliki wa mtandao huu bwana Gabriel Kilamlya akiwa kazini katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani[MEI MOSI]

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge lapitisha Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora...

Naibu Waziri wa nchini, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo akiingia ukumbi wa Bunge siku ya kupitishwa bajeti ya Wizara hiyo mwishoni wa wiki mjini Dodoma....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ''LIVE''...

WWW.IKULU.GO.TZ NI SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI KITAIFA ZINAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA JAMHURI MKOANI DODOMA LEO  (MEI MOSI).

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafungwa Wanaosubiri Kunyongwa Magerezani Wafikia 465

IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994. Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU YATOA HATI YA KUKAMATWA KWA MEYA WA...

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar imetoa hati ya kukamatwa kwa Meya wa Kinondoni, Boniface Jacob (Pichani)kutokana na kutofika mahakamani.Meya huyo anakabiliwa na shitaka la kumshambulia...

View Article
Browsing all 2276 articles
Browse latest View live