VYUO 175 NCHINI VYAPEWA NOTISI YA KUSHUSHWA HADHI
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Mhandisi Steven Mlote(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,wakati wa alipokuwa akitoa tamko la baraza hilo...
View ArticleMTOTO WA MIAKA 5 ABAKWA IRINGA RC AMTUMBUA MUUGUZI KWA KUCHELEWESHA MATIBABU
Mtoto wa miaka mitano ambaye ni mwanafunzi wa shule mmoja mjini Iringa mkazi Kihodombi katika Manispaa ya Iringa akiwa na mzazi wake wakisubiri matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa...
View ArticleWAZIRI NCHEMBA AAGIZA GEREZA LA IRINGA MJINI KUHAMIA NJE YA MJI
waziri wa mambo ya ndani ya nchi Bw Mwigulu Nchemba akisalimiana na waziri wa nyumba na maendeleo ya makazi Bw Wiliam Lukuvi (kuli) leo baada ya kukutana ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa Waziri...
View ArticleWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IDINDILIMUNYO WILAYANI WANGING'OMBE WANATUMIA...
HIVI NI VYOO VYA MUDA WANAVYOTUMIA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI IDINDILIMUNYO BAADA YA KUTITIA VYOO VYA AWALI MWEZI MACH MWAKA HUU HIVI NI VYOO VILIVYOTITIA MWEZI MACHI MWAKA HUU KATIKA SHULE YA...
View ArticleUKUTA WA CHADEMA WAKABILIWA KILA KONA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameliagiza jeshi la polisi mkoa wa Dar es salaam kuhakikisha kwamba sheria zinafuatwa na kusiwepo kitu kinaitwa UKUTA ili wananchi waendelee na kazi zao kama...
View ArticleHatimaye Tundu Lissu Aachiwa Kwa Dhamana Baada ya Mvutano Mkali wa Kisheria
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu alipewa dhamana saa tatu usiku wa kuamkia leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kukana mashitaka matatu ya uchochezi...
View ArticleSERIKALI YATENGA MILIONI 800 KWA AJILI YA UKARABATI WA HOSPITALI YA KIBENA...
MBUNGE WA JIMBO LA NJOMBE MJINI EDWARD FRANZ MWALONGO AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA NJOMBE MJINI KAMANDA WA POLISI MKOA WA NJOMBE PUDENCIANA PLOTAS AKIWA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA NJOMBE...
View ArticleWaziri Mkuu Majaliwa Uso Kwa Uso Na Askofu Gwajima
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Uzima na Ufufuo katika hafla ya harusi ya Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Amon Mpanju na mkewe Analises iliyofanyiak...
View ArticleRAIS MAGUFULI AZULU MAKANISANI NA MSIKITINI CHATO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Agosti, 2016 ametembelea Msikiti na Makanisa yaliyopo Chato Mjini Mkoani Geita na kuendelea kuwasihi Watanzania kuombea...
View ArticleMTATURU: WANANCHI WANATAKIWA KUFUGA KUKU SIO KUISHI NA KUKU
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akikagua kuku waliofungwa kisasa ambapo jogoo mmoja aliyefikisha umri wa mwaka mmoja anauzwa shilingi 20,000 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MBEYA KUFUNGA NANE NANE KESHO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songwe, Mbeya Agosti 7, 2016 ambako Agosti 8, 2016 atahitimisha maonyesho...
View ArticleZANZIBAR YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI
Mmoja wa akinamama anaenyonyesha watoto wake maziwa pekee miezi sita ya mwanzo Raya Khamis akitoa ushuhuda na mafanikio anayopata kwenye kilele cha maadhimisho hayo. Afisa Lishe, UNICEF Dar es salaam...
View ArticleJESHI LA POLISI NCHINI KUVIFUNGA VYUO VYA UDEREVA VISIVYO NA SIFA
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishina wa Polisi (DCP), Mohamed Mpinga (wa pili kushoto), akizungumza na wamiliki wa shule za udereva (hawapo pichani), wakati akifungua mkutano wa pili...
View ArticleSAMIA:SERIKALI INA LENGO LA KUWAKOMBOA WATANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amewahakikishia watanzania kuwa serikali ya awamu ya TANO inadhamira ya dhati ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za...
View ArticleVyuo Vya Udereva Visivyo Na Sifa Mbioni Kufungwa
JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema litavifungia vyuo vyote vinavyotoa mafunzo ya udereva nchini bila ya kuwa na sifa.Kauli hiyo ameitoa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani...
View ArticleSerikali Yatoa Siku 14 kutatua changamoto za watumishi Taasisi ya Mifupa...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa siku 14 kwa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Mifupa (MOI) kuangalia matatizo yaliyopo na kuyafanyia tathmini, huku akisisitiza kambi za upasuaji zirejee na zianze...
View ArticleTCRA Yavipiga Faini ITV, Clouds Tv na Clouds Fm Radio Kwa Kukiuka Maadili ya...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevipa onyo na kuvipiga faini vituo viwili vya televisheni na kimoja cha redio kwa kukiuka maadili ya utangazaji.Vituo hivyo ni ITV, Clouds Tv na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI...
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katikati ya jiji la Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea...
View Article