Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 4

$
0
0

LISSU: JITOKEZENI KUGOMBEA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

lisu_a67cd.jpg
Mbunge wa singida mashariki tundu lissu (Chadema)akihutubia mkutano wa hadhara kwa wakazi wa kihesa sokoni leo jioni ambapo pamoja na mambo mengine aliwaomba wananchi kujitokeza katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura na hatimaye kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu.Kulia ni mbunge wa Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa.
"TUNATEMBEZA BAKULI" Wakazi wa Kihesa wakijitolea kuchangia chama wakati Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akipita na boksi kuchangisha michango kwa ajili kuwezesha kufanya mikutano mbalimbali ya kata jimbo la iringa mjini.Mwenye shilingi mia haya, mwenye mia tano haya....lisu2_50ad1.jpg
lisuuu_06762.jpg

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles