AJALI MBAYA TUNDUMA MBEYA, MAGARI YALIYOPATA AJALI HIYO HAYA HAPA.
Baadhi ya wakazi wa Tunduma wakishangaa ajali ya gari ndogo IT ambazo zilikuwa zikisafirishwa kutoka Dar es salam kuja boda ya Tunduma iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Toronto kwenye matuta (PICHA NA SAIMENI MGALULA.)