Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO

$
0
0


Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi
akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.


Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya
viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi.


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
akizungumza mara baada ya rais kuwasili ikulu mjini Moshi kwa ajili ya ziara wilayani Mwanga .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276