Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

KUMBUKUMBU YA KANUMBA LEO,LULU AJA NA UJUMBE

$
0
0
Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii Elizabeth Michael a.k.a Lulu ameandika maneno haya hapa kukusu Kanumba:- "bado siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona ama kukusikia baba....ninaamini bado tupo wote kiroho, Na ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania, inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea...u still liv in me daddy and your dearly missed....R.I.P daddy angu" huo ndiyo ujumbe alioutoa leo hii Ikumbukwe kuwa leo ni miaka miwili tangu Msanii wa Filamu Bongo Sreven Kanumba afariki dunia Aprili 7,2012
 RIP STEVEN CHARLES KANUMBA[nitayainua Macho Yangu Niitazame Milima]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles