Mkufunzi wa Mafunzo Hayo Bw,Faustin Matina
Mmoja wa Madereva Akikabidhiwa Leseni Baada ya Kuhitimisha Mafunzo Yao Awamu Ya Kwanza
Dereva wa Boda boda Akihojiwa baada ya Mafunzo Hayo Leo
Baadhi ya Madereva Walishiriki Uzinduzi wa Mafunzo Hayo Leo Katika Ukumbu wa Turbo Mjini Njombe
Hapa Maelekezo Yakiendelea kutolewa kwa madereva hao
Na Steven Ngole Njombe
Jeshi La Polisi Mkoani Njombe Kwa Kushirikiana Na Shirika Lisilo La Kiserikali La Apec Wameendelea Kutoa Mafunzo Ya Usalama Barabarani Kwa Mara Pili Kwa Wamiliki Madereva Wa Vyombo Vya Moto Hususani Pikipiki na Pikipiki Za Magurudumu Matatu Maarufu Kama Bajaji.
Mafunzo Hayo Yanayotolewa Kwa Madereva Hao Yanalenga Kutoa Elimu Zaidi ya Uendeshaji wa Vyombo Hivyo Vya Usafirishaji Kwa Madereva Hao Ili Kupunguza Ajali Za Zinazoweza Kuepukika.
Katika Ufunguzi wa Mafunzo Hayo Madereva Hao Wametakiwa Kuzingatia Elimu Wanayoipata Ili Kuwa Na Tija Katika Kazi Yao na Kupunguza Ajali Zinazoendela Kutokea Katika Maeneo Mbalimbali Nchini.
Rai Hiyo Imetolewa na Mkufunzi wa Mafunzo Hayo Bw,Faustin Matina Ambapo Amewataka Madereva Hao Kuutambua Umuhimu wa Mafunzo Hayo Kama Ndiyo Njia Pekee Itakayowasaidia Kumiliki na Kuvitumia Vyombo Hivyo Pamoja Na
Kuzitambua Alama Za Barabarani na Sheria.
Matina Amesema Kufuatia Mafunzo Yaliyotolewa Awali Yameonekana Kuwa Na Tija Kubwa Katika Kupunguza Ajali Za Barabarani na Kulipengeza Jeshi la Polisi Kwa Ushirikiano Wanaoendelea Kuonyesha Katika Kutoa Mafunzo Hayo.
Kwa Upande Wao Washiriki Wa Mafunzo Hayo Wamesema Wamefurahishwa na Hatua Hiyo Ya Jeshi La Polisi Pamoja Na Shirika Hilo La Apec Kwa Kutoa Mafunzo Hayo Ya Usalama Barabarani Kwani Yanafaida Kwao.
Akizungumza Mmoja Wa Waliopata Wanaopata Mafunzo Hayo Ambaye Pia Ni Mwenyekiti wa Darasa Hilo La Mafunzo Kwa Upande Wa Madereva Hao Bw,Philemon Edward Amesema Wanalishukuru Jeshi La Poilisi Mkoa Wa Njombe Pamoja Na Shirika Hilo Kwa Kutambua Umuhimu wa Kutoa Mafunzo Hayo.