Baadhi ya Wasanii Wakiwa Kwenye Kikao cha Pili cha Matamasha Ya Umoja Kwanza Katika Kituo cha Radio Uplands Fm.
Kikao Hicho ni Cha Pili Kufanyika Katika Maandalizi ya Matamasha Yatakayofanyika Katika Maeneo ya Wilaya zote za Mkoa wa Njombe Katika Kipindi cha Mwaka Huu.