Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 2

$
0
0
 Mkuu wa Wilaya ya Njombe Akizungumza Kabla ya Kuzindua Ofisi za TIGO Tawi la Njombe Leo Mara Baada ya Kupokea Maelekezo Toka Mkurugenzi wa TIGO Nyanda za Juu Kusini Bwana Jackson Kiswaga Leo
 Wanahabari Wakifanya Kazi Yao Wakati wa Uzinduzi wa Ofisi za TIGO Tawi la Njombe Leo.
 Hapa Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Akizindua Rasmi Ofisi za Tawi la TIGO Njombe Leo.


 Mkuu wa Wilaya ya Njombe Akielekezwa Baadhi ya Bidhaa Zinazopatikana Katika Ofisi Hizo.

 Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba Akikabidhiwa Simu Inayotumia Mtandao wa Tigo Kama Zawadi Mara Baada ya Kuzindua Tawi la TIGO Njombe Leo na Mkurugenzi wa TIGO Nyanda za Juu kusini Bwana Jackson Kiswaga.
 Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni Ya Mtandao wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bwana Jackson Kiswaga



 Baadhi ya Wanahabari Wakibadilishana Mawazo Wakati wa Ufunguzi wa Ofisi za TIGO Tawi la
Njombe



Na Gabriel Kilamlya Njombe

Mkuu wa Wilaya Ya Njombe Bi.Sarah Dumba Ameyataka Makampuni Ya Simu

Wilayani  Njombe Kuendelea Kuboresha Huduma Zake na Kutoa Ajira Kwa

Wananchi Ili Kupunguza Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Hapa Nchini.

Bi.Dumba Ameyasema Hayo Jana Wakati Akizindua Ofisi Ya Mtandao wa Simu

wa Kampuni ya TIGO Tawi la Njombe Ambapo Amesema Kwa Kufanya Hivyo

Kutasaidia Kupunguza Kwa Asilimia Kubwa Tatizo la Ajira Kwa Vijana Wilayani

Njombe.

Aidha Amesema Kuwa Kuzinduliwa Kwa Ofisi Hiyo Kutawasaidia Wananchi

Wakiwemo Wajasiliamali Mbalimbali Kuboresha Biashara Zao Kutokana na

Kuokoa Muda Kupitia Mawasiliano Ya Simu za Mkononi.

Pamoja na Mambo Mengine Amelitaka Kampuni la Mtandao Huo Kuendelea

Kuboresha Huduma Zake na Kuwasaidia Wananchi Katika Nyanja Mbalimbali

Zikiwemo Sekta za Afya,Elimu,Maji Pamoja na Miundombinu.

Jackson Kiswaga ni Mkurugenzi wa Kampuni ya TIGO Nyanda za Juu Kusini

Ambaye Amesema Kuanzishwa Kwa Ofisi Hizo Kutasaidia Kupunguza Adha

Kubwa Kwa Wananchi Katika Kusogeza Huduma za Kimawasiliano Karibu na

Wananchi.

Bwana Kiswaga Ameongeza Kuwa Lengo la Kufungua Ofisi Hizo Katika Mkoa wa

Njombe Ni Kutaka Kuboresha Huduma za Kimawasiliano Zikiwemo Huduma za

TIGO PESA,Huduma za Kibenki Pamoja na Kuboresha Mawasiliano ya

Kimtandao Hususani Katika Masuala ya Internet.

Pamoja na Mambo Mengine Bwana Kiswaga Amesema Kuwa Licha Ya Kuendelea

Kusogeza Huduma Hiyo Karibu na Wananchi Zaidi Lakini Bado Kumekuwepo na 

Changamoto Mbalimbali Hususani Katika Kuwafikia Wananchi Waliopo Vijijini

Zaidi na Hapa Anasema,



Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles