Mkuu wa Mkoa wa Njombe Akiwasili Kuzindua Rasmi Uhamasishaji wa Kilimo cha Zao la Viazi Mviringo Mkoa wa Njombe.![]()
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Captain Mstaafu AAsseri Msangi Akizungumza Wakati wa Uzinduzi wa Siku ya Uhamasishaji wa Zao la Viazi Mviringo Mkoa wa Njombe Jana
Wa Pili Kushoto ni Dokta Merry Shetto Kutoka Wizara ya Kilimo na Msimamizi Katika Mpango wa SAGCOT Akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi
Wakulima wa Viazi Mviringo Wakitoa Changamoto zao Mbele ya Wadau wa Kilimo Nchini Jana Katika Ukumbi wa
Kyando Mjini Njombe.
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Wakulima wa Viazi Mviringo Mkoani Njombe Wametajwa Kuendelea Kukabiliwa na Changamoto Mbalimbali Katika Kilimo Chao Ikiwemo Kushindwa Kuzalisha Mazao Bora Kwa Kukosa Mikopo na Utaalamu.
Akizungumza Wakati wa Kuzindua Zoezi la Uhamasishaji wa Kilimo cha Viazi Mviringo Katika Mkoa wa Njombe Kupitia Mpango Kilimo cha Ukanda wa Mikoa ya Kusini SAGCOT Kwa Kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Kilimo Njombe NADO Mkuu wa Mkoa wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi Amesema Kuwa Licha Ya Kuwepo Kwa Mwamko mkubwa Katika Uzalishaji wa Zao la Viazi Lakini Wakulima Hao Wamekuwa Wakishindwa Kuboresha Kilimo Chao Kwa Kukosa Uwezeshwaji .
Captain Mstaa Asseri Msangi Ameeleza Kuwa Wakulima wa Viazi Mkoani Njombe Wamekuwa Wakifanikiwa Kukuza Kipato chao na Uchumi wa Taifa Kwa Ujumla Huku Wakikabiliwa na Changamoto Kubwa Ikiwemo Tatizo la Lumbesa,Kukosa Mitaji na Mikopo Kutoka Kwenye Taasisi za Kifedha Huku Akiwataka Wakulima Kujiunga na Vyama Vya Ushirika Ili Kurahisisha Upatikanaji wa Mikopo Kiurahisi .
Tullah Mloge ni Mwezeshaji Kutoka SAGCOT Ambaye Amesema Lengo la SAGCOT ni Kuhakikisha Wakulima Wanawezeshwaji na Kukuza Uchumi Wao Kupitia Kilimo cha Viazi Mviringo Pamoja Kuishauri Serikali Kuboresha Miundombinu Zikiwemo Barabara,
Akizungumzia Hali ya Uzalishaji wa Zao la Viazi Mviringo Katika Mkoa wa Njombe Afisa Kilimo Mkoa wa Njombe Bwana Mussa Idd Sechonge Amesema Kuwa Mkoa wa Njombe Umeendelea Kukabiliwa na Changamo Mbalimbali Zinazowakatisha Tamaa Wakulima Katika Mashamba Yao
Zoezi la Uhamasishaji wa Kilimo cha Zao la Viazi Mviringo Katika Mkoa wa Njombe Utafanyika Kwa Muda wa Siku Mbili Kwa Kuwafikia Wakulima Katika Maeneo Yao Kwa Lengo la Kujifunza Kwa Vitendo.
..........................................................................................................................................................