Ni Video ya Wimbo wa Nay wa Mitego wa Nakula Ujana Iliyofanyika Kenya na Kutoka Wiki Iliyopita Imeendelea Kufanya Vizuri Katika Muziki wa Bongo Flavour na Kumpa Umaarufu Mkubwa Msanii Huyo Licha ya Maneno Mbofumbofu Yake na Ya Matusi Kwenye Nyimbo zake Nyingi.