SERIKALI NJOMBE INA KAZI YA ZIADA KUTAZAMA STENDI YA MABASI ILIYOPO.
Pamoja na Mkoa wa Njombe Kuanza Rasmi Mwaka Jana Lakini stendi hii Imeendelea Kutumika kwa Marekebisho ya Muda Mfupi Ili hali Stendi Mpya Haijengwi kwa mujibu wa wataalamu wa Halmashauri hiyo pamoja na Mkurugenzi.
Kwa Hali Hiyo Njombe Inaleta Picha Gani ikizingatiwa ni Jimbo la Spika wa Bunge.
:MAONI YA MHARIRI
.Kwa kuwa maoni au Ushauri si lazima Uzingatiwe na kufanyiwa kazi lakini na Sema ni vyema Halmashauri Ikaona Umuhimu wa stendi hiyo kwa kuifanyia Ukarabati Mkubwa kwa kutumia Kodi za Magari Hayo Hata Kwa Fedha ya Wiki Moja Tu.
picha na FG Blog