MABANDA YA WAFANYABIASHARA NYUMA YA STENDI NJOMBE YAANZA KUBOMOLEWA![]()
Zoezi la Ubomoaji wa Mabanda Ukiendelea
Na Gabriel Kilamlya Njombe
Hatimaye Serikali Mjini Njombe Imeanza Kutekeleza Zoezi la Ubomoaji wa
Mabanda ya Wafanyabiashara wa Vyakula na Nguo Aina ya Mitumba
Yaliyopo Nyuma ya Kituo cha Mabasi Mjini Njombe Katika Kuuweka Mji
wa Njombe Katika Hali ya Usafi na Usalama Zaidi.
Hatua Hiyo Imekuja Kufuatia Kituo Hiki Kufuatilia Kwa Ukaribu
Utekelezaji wa Zoezi Hilo Lililo Takiwa Kutekelezwa Tangu Mwezi
Novemba Mwaka Huu Jambo Ambalo Lilishindwa Kufanyika.
Akizungumza na
mtandao huu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Njombe
Bwana Edwin Mwanzinga Amesema Kuanza Kutekelezwa Kwa Zoezi Hilo
Iwe ni Muendelezo wa Kuhakikisha Eneo Hilo Linakuwa Safi na Hivyo
Ameutaka Uongozi wa Mtaa wa Gwivaha Mjini Njombe
Pamoja na Mambo Mengine Bwana Mwanzinga Amesema Kuwa Eneo Hilo
Kwa Akali Kubwa Lilikuwa Likitumika Kwa Mambo Ya Uhalifu Ikiwemo
Kutumika Katika Utumiaji wa Madawa ya Kulevya,Ulevi na Kutumia Kama
Vyoo.
Kwa Upande Wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Gwivaha Mjini Njombe Bwana
Nathanael Maxona Amesema Kuwa Ifikapo Disemba 19 Mwaka Huu Siku
ya Alhamisi Zoezi Hilo Litakuwa Limekamilika Kwa Kuyaondoa na
Kuyapanga Mabanda Hayo Kulinga na Biashara Wanazo Zifanya.