Image may be NSFW.
Clik here to view.
Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom-Tanzania Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani (Kulia), akimkabidhi kofia ngumu, mmoja kati ya washindi wanane wa promosheni inayoendeshwa na kampuni hiyo ya simu"Timka na Bodaboda", Asha Yohana, mkazi wa Dodoma, katika hafla ya kukabidhi pikipiki "Bodaboda" kwa washindi wanane wa mkoani humo.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani (Kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi za pikipiki, washindi wanane wa promosheni ya "Timka na Bodaboda" inayoendeshwa na kampuni hiyo ya simu. Hafla hiyo ilifanyika jana mjini Dodoma.Clik here to view.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani (Wapili kulia), akiwa ameshikana mikono na washindi wa promosheni ya "Timka na Bodaboda" mara baada ya kuwakabidhi pikipiki wakazi wanane wa Clik here to view.

mkoani Dodoma.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Washindi wanane wa promosheni ya "Timka na Boda boda", mkoani Dodoma, wakiwa kwenye pikipiki zao "Bodaboda" mara baada ya kukabidhiwa na Kaimu Meneja Masoko wa Vodacom-Tanzania Kanda ya Kati, Heladius Kisiwani
Clik here to view.
