KUFUATIA mvua kubwa iliyonyesha katika maeneo mbali mbali ya mji wa Zanzibar leo asubuhi Barabara nyingi zimejaa maji na kusababisha watumiaji kupata usumbufu kutokana na wasi wasi wa kuharibika kwa njia hizo pichani gari zikipita kwa tabu katika eneo la Mwanakwerekwe .(Picha na Haroub Hussein).
Mabwawa kila pahala
Hali ya mvua katika maeneo ya Jang'ombe Unguja leo.