TIMU YA NJOMBE MJI MAJI SHINGONI.
Leo yatandikwa na MAKAMBAKO UNITED GORI MOJA-O.![]()
Mashabiki wa timu ya Makambako United wakishangilia ushindi kwa kuifunga Njombe mji fcHII NI TIMU YA NJOMBE MJI WAKIINGIA UWANJANI KUUWAKABILI MAKAMBAKO UNITED LEO KATIKA UWANJA WA SABASABA
NJOMBE MJI NDANI YA UWANJA WA SABASABA
Hivi Karibuni Timu Hiyo Iliburuzwa Gori Mbili na Chai Fc na Kisha Mashabiki Kuanzisha Vurugu Kubwa Katika Uwanja wa Chai
Timu ya mpira wa miguu ya Makambako United leo imetoa adhabu ya gori moja kwa bila katika mchezo wa mpira wa miguu ligi ya taifa ngazi ya mkoa uliowakutanisha na timu ya Njombe mji
Timu hiyo imeanza kuandika goli lake la kwanza kunako kipindi cha kwanza dakika ya 39 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa sabasaba.
Hadi dakika tisini zinakwisha timu ya Makambako United fc ilitoka na ushindi wa goli moja huku timu ya Njombe mji fc ikitoka bila kitu.
Katika uwanja wa Magereza kulikuwa na mchezo wa mpira wa miguu kati ya Luponde fc na Zamaleck fc katika ligi ya taifa ngazi ya mkoa ambapo Zamaleck fc imekubali kupokea kipigo cha magori sita huku Zamaleck fc ikiambulia goli moja katika mchezo uliozikutanisha timu hizo leo.