MWENDESHA PIKIPIKI AVUNJWA KIDOLE BAADA YA KUGONGANA NA GARI NJOMBE
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Clik here to view.

Clik here to view.

Mwendesha Pikipiki Aina ya T Better Yenye Namba za Usajili Hapo Juu Amepata Ajali ya Pikipiki Wakati Akijaribu Kumu Overtake Mwenye Gari Linaloonekana Hapo Hapo Upande wa Kushoto Kinyume na Sheria za Barabarani Hivi Punde.
Upande wa Kushoto mwa Gari Hilo Ndipo Alipojigonga Bodaboda huyo na Kisha Kuvunjwa Kidole chake kidogo cha Mkono wa Kulia
Taarifa za Mashuhuda wa Tukio Hilo wamesema Kuwa Mwendesha Bodaboda Ndiye Mwenye Makosa kwani Alikuwa Akitaka Kuovertake Gari Upande usio wake kisha Kupata Ajali Hiyo Jirani na Ofisi za Tanesco Wilaya ya Njombe Mtaa wa Chaugingi Mjini Njombe.
Tukio Hilo Limetokea Jioni Hii Ikiwa ni Wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani Litakalohitimishwa Wiki Mbili zijazo.