Viongozi mbali mbali wa chuo cha Veta wakiongozwa na mkurugenzi wa kanda ya nyanda za juu Veronica Mbele (wa tatu kushoto ) wakiwa na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe (wa nne kushoto) mara baada ya kuwatunuku vyeti na leseni madereva boda boda kata ya Mndindi Ludewa
 Madereva boda boda kata ya Mndindi Ludewa ambao wamehitimu mafunzo ya udereva yaliyoendeshwa na Veta baada ya mbunge wao Deo Filikunjombe kuomba mafunzo hayo
 Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwahamasisha madereva kuanzisha umoja wao ambapo yeye atakuwa mlezi wao
 Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa boda boda na magari kata ya Madope wakiwa katika mapokezi ya kumpokea mgeni rasmi mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe
 Madereva wakila kiapo cha utii baada ya kuhitimu mafunzo yao yaliyoendeshwa na Veta
 Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe katikati akiwa na OCD Ludewa na RTO Njombe pamoja na washitimu wa mafunzo ya udereva boda boda na magari
 Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akimpongeza mwalimu mkuu wa shule ya msingi Luvuyo kata ya madope Bi Aprudensia Joseph Lugome ambae amehitimu mafunzo ya muda mfupi ya udereva kupitia mpango wa mbunge huyo kuwasaidia madereva hao kupewa mafunzo na VETA
Wananchi wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea mbunge wao Deo FilikunjombeÂ