$ 0 0 UTPC WAANZA MKUTANO MKUU DODOMA. Mtendaji mkuu wa UTPC Bw Karsan akitoa neno la ufunguzi kabla ya kumkaribisha Rais wa UTPC kufungua mkutano huo Viongozi wa UTPC wakiwa katika ukumbi wa mkutano ukumbi wa Golden Grown Hotel Wanachama wa UTPC wakiwa katika mkutano hyuo Rais wa UTPC Keneth Simbaya kulia akiwa na mtendaji mkuu wa UTPC Bw Karsan Mwenhyekiti wa IPC Bw Frank Leonard akiwa katika ukumbi wa mkutano huo Mwenyekiti wa Lindi Abdulaziz Video akiwajibikakatibu wa Tanga Press Club Bi Lulu George akiwa katika mkutano huosource Francis Godwin blog