Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (kushoto), Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni(katikati) na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo mara baada ya mapumziko ya mchana jana mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (kushoto) wakibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni(kulia) mara baada ya mapumziko ya mchana jana mjini Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari(katikati) na Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi(kulia) mara baada ya mapumziko ya mchana ya wabunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhomgo(katikati) akibadilishana mawazo jana mjini Dodoma na baadhi ya wananchi na wabunge waliofika Bunge waliofika leo mjini Dodoma kusikiliza hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara yake kwa mwaka ujao wa fedha.