Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 11

$
0
0

BUNGE LA LAANI KATUNI ILIYOCHORWA KUKASHFU BUNGE HILO.

Waziri wa Afrika Masharika Samwel Sitta azungumzia Katuni hiyo na kulaani vikali tabia ya Kukashfu Muhimili wa Nchi.

KATUNI HIYO ILICHORWA NA GAZETI LA KENYANI HII


Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samweli Sitta akiwa Bungeni leo amelaani vikali gazeti moja kutoka nchi ya jirani kwa kuruhusu picha hapo juu ambayo imelidhalilisha bunge la tanzania.

Mh Sitta ametoa kauli hiyo leo asubuhi wakati akisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya afrika mashariki kwa mwaka 2013/2014. 

Sitta amesema pamoja na bunge kuwa na mjadala mkali lakini siyo sahihi Kenya kulidhalilisha bunge la tanzania kwa namna hii na kusema huenda picha hii ikachochea vurugu na majirani zake.

Picha hiyo ilichapishwa katika gazeti moja kutoka kwa majirani zetu siku za hivi  karibuni. 
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles