Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276
↧

Article 16

$
0
0
MAHAFALI YA TANO YA BODI YA UNUNUZI NA UGAVI YAFANYIKA DAR
MKurugenzi wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi
(PSPTB), Dk Clemence Tesha (kushoto) akiwaapisha wahitimu wa shahada ya
kwanza  ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi,
kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo,
Dar es Salaam

 Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya
Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakionekana wenye furaha muda mfupi baada ya kutunukiwa
vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za mahafali ya
tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam

Wahitimu wa Mahafali ya tano ya Bodi ya
Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakila kiapo cha utii na uaminifu muda mfupi baada ya
kutunukiwa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye sherehe za
mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam
Mwenyekiti
wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Sr. Dk Hellen Bandiho, akizungumza na
wahitimu mbalimbali wa vyeti, stashahada na shahada za ununuzi na ugavi kwenye
sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam, katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dorothy Mwanyika, na


Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Dk Clemence Tesha
Wahitimu
wa Mahafali ya tano ya Bodi ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakiwa kwenye picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali kwenye sherehe za mahafali ya tano yaliyofanyika
kwenye viwanja vya bodi hiyo, Dar es Salaam


KWA HISANI YA michuziblogspot.com
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Latest Images

Trending Articles