$ 0 0 MAPOKEZI YA MSHINDI WA INSHA SADC YAFUNIKA NABOTI SEC MAKAMBAKO Neema Steven Mtwanga(16) (kulia) akipokelewa katika hoteli ya triple J ya mjini makambako sehemu ambayo yalianzia maandamano kuelekea Shule ya Naboti. alipokelewa kwa mabango ambayo wabebaji wake walijawa na nyuso za furaha. Maandamo kuelekea shuleni hapoPicha zote na James Festo.