WANANCHI wa KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI LUDEWA WASHIRIKIANA NA MBUNGE WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15
![]() |
Diwani wa kata ya Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe kata kichwani huku mbunge huyo akiwa na wanawake wakiwa na ndoo za maji kichwani |
![]() |
Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji wa maji kijiji cha Madindo |
![]() |
katibu wa mbunge Filikunjombe Bw Stan Gowele kulia |
![]() |
Mbunge Filikunjombe akishiriki kushusha tanki katika lori na wapiga kura wake tenki kwa ajili ya mradi wa maji kijiji cha Madindo |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kulia akishiriki kujenga mradi wa maji kijiji cha Madindo Ludewa |
![]() |
Mbunge Filikunjombe kulia akishiriki kuunganisha bomba la maji katika tanki |
![]() |
Wananchi wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji |
![]() |
Diwani wa kata ya Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe kata kichwani huku mbunge huyo akiwa na wanawake wakiwa na ndoo za maji kichwani |
![]() |
Mwenyekiti wa kijiji na wananchi wa Madindo wakimwongoza mbunge Filikunjombe katikati kwenda kutazama chanzo cha maji yanayotumika kijiji cha Madindo |
![]() |
Mbunge Filikunjombe akielekea kutazama chanzo cha maji kijiji cha madindo |
![]() |
Hiki ndicho chanzo cha maji ambacho wananchi wa Madindo hukitumia |
![]() |
Mbunge Filikunjombe akiongoza wananchi na viongozi kupanda mlima kwa kukimbia mbio ili kuelekea kuzindua mradi wa maji |
WANANCHI wa Kigongoji cha Madindo kijiji cha Mlangali kata ya Mlangali wilaya ya Ludewa kwa kushirikiana na mbunge wao Deo Filikunjombe (CCM ) na diwani wao wa kata ya Faraja Mlelwa wakamilisha mradi wa maji wa milioni 15 badala ya milioni 87 za Halmashauri ya Ludewa
Kukamilika kwa mradi huo kwa gharama ya Tsh milioni 15 kumeokoa fedha za Halmashauri kiasi cha Tsh milioni 65 ambazo Halmashauri ya wilaya ya Ludewa ilikuwa ikizitafuta ili kupeleka maji kwa wananchi hao.
Hatua ya wananchi hao kujitolea nguvu zao kuanzisha mradi huo ilikuja baada ya uongozi wa Halmashauri hiyo kuendelea kuwazungusha juu ya uanzishaji wa mradi huo kwa madai ya Halmashauri kutokuwa na kiasi hicho cha fedha na kuwataka wavute subira huku wao wakiendelea kutembelea umbali wa km zaidi ya 10 kufuata maji.
Akitoa pongezi zake kwa mbunge diwani wa Kata ya Mlangali kupitia Chama cha DemokrasianaMaendeleo (CHADEMA) amempongezaMbungewaJimbo la Ludewa, DeoFilikunjombe (CCM) kwajitihadazakezakuletamaendeleokatika kata yakenajimbohilo la Ludewa .
![]() | |
Mbunge Filikunjombe akijiandaa kupokea rita ya pombe aina ya ulanzi ili kushiriki kunywa pombe hiyo na wapiga kura wake |
Hatuayadiwanihuyokutoapongezihizoimekujabaadayambungehuyokutekelezaahadiyakendaniyasiku 14yakukamilishamradiwamajikitongoji cha Madindukijiji cha Mlangalikwakupelekamatenkiyamajiyavifaavyakumalizahatuazamwishozamradihuo.
“…Nachukua fursahiikukupongezasanawewembungeFilikunjombe, tulikualikaAgosti 5, mwakahuu, ukatuahidinaleohiinaonamatenkiyamajiyamesimikwahapa, lakinipiaumeshirikikuchimbamtaro, hiiinatuonyeshakwambaumetuungamkono, umetusaidia, uondoaileadhailiyokuwainatupatasikuzotehapakijijini,” alisemaMlelwa.
Diwani Mlelwa alisema wananchi wake wakijiji cha Madindu walikuwawanapatashidayakutembeaumbalimrefuwa km zaidiyatanokwendakufuatamajinaviongoziwengi waliokuwepowalikuwawakitoaahadibilautekelezaji.
“InapendezasanatunapokuwatunasimamiaIlani, ziwezilezinazotekelezeka, mbungeametuahidini wiki mojatumeonamatokeoyametokea, lakininapendanisemekuwatunapokuwakwenyeshughulizamaendeleo, itikadizavyamatunaziwekapembeni,” alisemaDiwanihuyo.
Akizungumzanawananchiwakijijihicho, MbungeFilikunjombe ambayealiongozananambungemwenzakeKange Lugola kutoka Jimbo la Mwibalamkoani Mara alimpongeza diwanikwakuwakaribujiraninawananchi wake nakuwambungewamfanokatikajimbohilo nan je yajimbo.
“Nakupongezasanawewediwaniwa CHADEMA kwakuwamakini kwenye hili, kunifuatamimimbungewa CCM navilevilekumtumiamwenyekitiwakijijikutoka CCM kutekelezaIlaniya CCM kwakutatuakeroyamajiiliyokuwaikiwakabiliwananchiwenu,” alisemaFilikunjombe.
Akizungumza jana nawananchiwakijiji cha Madindo wilayani Ludewa, mkoaniNjombe, FilikunjombealimsifudiwaniFarajaMlelwakwakushirikiananawananchihaonakufanikishamradiwamaji.
“Nawapongezawananchiwote, maanamlifikamahalimlichoka, mkaamuakunipigiasimu, shidainayowakabilihamkungojaserikali, mmeonashidayamajiipo, mkasematuanzesisiwenyewe, lakiniwatuwengiwamekuwawakisemaserikaliitafanya, mpakaviongozi, hilohapana,” alisemaFilikunjombe.
MbungeFilikunjombeambayealiongozananaMbungemwenzakeKangiLugolakutokaMwibalamkoani Marakwenyeuzinduzihuowamradiwamaji, walishirikikuchimbamtarowakupelekamabombakutokakwenyechanzo cha majikilichotegwakwenyechemichemyamajiinayotoka.
“Tuachekunung’unika, kulalamika, kilammojaatimizewajibu wake, mbungeatimizewajibu wake, diwaninayeatimizewajibu wake, nawananchinaowatimizewajibuwao, tukiunganainawezekana,” alisemaFilikunjombe.
Alisema hapendi kuona wapiga kura wake wanapata tabu hivyo ndio sababu ya yeye mwenyewe kulazimika kushiriki kwa nguvu zote maendeleo ya kuchimba mifereji na kuhakikisha mradi huo unaanza kutoa maji .![]()

Akizungumziafurahayakupatikanamajikwenyekijijichao, mkaziwakijijihicho, YustaMtegaalisemawanashukurumajikuanzakutokakwenyekijijichaoambapoalidaihapoawaliwatotowaowalikuwahawapatimajiyakuoga, nahatanguozaozilikuwazimefubaakwakukosakufuliwa.
“Naushukuruuongoziwetuwotekwakutuleteamaji, alfajiritulikuwatunaamkakufuatamajimtonikwaumbaliwakilomitatano,watotowalikuwawanaendashulenibilakunawa, miguusasainaonekanakutokananamajituliyoyapa,” alisemaMtega.![]()

Mbunge wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akiwa na pombe aina ya ulanzi huku pembeni mbunge akiwa ameonyesha kuchoka kutoka na kazi nzito ya siku nzima mara aliposhiriki kuchimba mifereji ya maji na wapiga kura wake ......................................................................
Mradihuowamajikatikakijiji cha Madindo hivi sasautawezakuhudumiajumlaya kaya 360 zawakaziwakijijihicho.
![]()
Mradihuowamajikatikakijiji cha Madindo hivi sasautawezakuhudumiajumlaya kaya 360 zawakaziwakijijihicho.

Mwanamke mkazi wa Madindo akimpongeza mbunge Filikunjombe kwa kasi kubwa ya maendeleo jimboni