Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 2

$
0
0
KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA TAIFA YA MAAFA (TANDREC) CHAFANYIKA LEO, JIJINI DAR 
 Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa (TANDREC), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

Dkt. Florens Turuka akiongoza Kikao Maalum cha Kamati ya Taifa ya Maafa(TANDREC)

ambayo, inaundwa na Washiriki wakuu katika kukabili Maafa, Kikao kimefanyika leo

katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi Dharura na Maafa, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.

Elias Kwesi, akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Maafa (TANDREC) jinsi

walivyojidhatiti kuzuia na kukabili ugonjwa wa Ebola hapa nchini ambapo alibainisha

kuwa hakuna maabukizi ya ugonjwa huo hapa nchini hadi sasa, (kushoto) ni Mwenyekiti

wa Kamati hiyo Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka, Kikao

kimefanyika leo katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es Salaam
 
 
 Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa (TANDREC) Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

Dkt. Florens Turuka (watatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe

wa kamati hiyo mara baada ya kumaliza kikao hicho leo katika ukumbi wa mikutano

Ofisi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es Salaam.
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles