MSIKITI WA MTAMBANI ULIOPO KINONDONI WATEKETEA KWA MOTO

Msikiti wa Mtambani,uliopo Kinondoni jijini Dar,hivi sasa umeteketea kwa moto na  kusababisha hasara kubwa ya mali zilizokuwemo, www.gabrielkilamlya.blogspot.com baada ya kutaarifiwa kwa tukio hilo  la moto,iko kazini na punde itakuarifu kilichokuwa kikijiri eneo hilo ikiwemo pia na kutaka kufahamu nini hasa chanzo cha moto huo,uliowashtua wakazi wengi wa eneo hilo la Kinondoni na kwingineko.Â
Juu na chini ni sehemu tukio hilo la kuteketea kwa moto kwa msikiti huo
wa Mtambani, likiendelea hivi .

