$ 0 0 MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI LA MCHANGA LILILO PINDUKA NA KUPARAMIA UKUTA NYUMBA YA MTU . Lori la Mchanga linalomilikiwa na kampuni ya CCC ambalo namba zake hazikuonekana mara moja Muda mchache baada ya kupata ajali Dereva wa Gari hili aliye Tambulika kwa jina la Victor alifariki papo hapo. Mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo Gari hilo la Mchanga likiwa limeruka eneo hilo mpaka kuparamia ukuta na Kupinduka Utaratibu wa kulinyanyua Gari hilo unafanyika Hapo ndipo Gari hilo lililokuwa na Kifusi liliruka mpaka upande wa uzio wa nyumba na Kupinduka Kushoto ni Baadhi ya Wachina wafanyakazi wa Kampuni ya CCC Mmoja wa wafanyakazi akitoka kuangalia Ajali hiyoPicha na Mdau wa Mbeya yetu David Nyembekwa hisani ya Mbeyayetublog