Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 0

$
0
0

MADIWANI MJI WA NJOMBE WAJADILI UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI ISIYO NA FEDHA




 WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE WAKIWA KWENYE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE.



 DIWANI  WA KATA YA RAMADHANI ALFRED RUVANDA AKIHOJI MASWALI KWA MWENYEKITI WA MKUTANO HUO.




 WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE BENCHI WAKIANDIKA HABARI KATIKA BARAZA HILO.
 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA NJOMBE




 DIWANI WA KATA YA NJOMBE MJINI AGRY MTAMBO AKIHOJI MASWALI MBALIMBALI KUHUSIANA NA UNUNUZI WA GARI KWA MILIONI MIA MBILI JIBU AMBALO LIMETOLEWA NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI HIYO EDWIN MWANZINGA AMBAE AMESEMA GARI HILO LA TAKA LILINUNULIWA KWA SHILINGI MILIONI MIA MOJA TISINI TARAKIMU ZA KWENYE MAKARATASI ZIMEKOSEWA.




 HAWA NI MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WAKIWA KWENYE BARAZA LA HALMASHAURI YA MJI



PICHA na Michael Ngilangwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles