Diwani aliyesimama Bi. Twilumba Wapalila enzi za uhai wake akiendelea na majukumu yake kama mwakilishi wa wananchi. Diwani wa kata ya Lupembe wilayani Njombe Bi Twilumba Wapalila, amefairiki dunia usiku wa kuamkia Julai 9 Mwaka huu jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu kwa ugonjwa wa vidonda vya tumbo
Katikati ni Marehemu Twilumba Wapalila Enzi za Uhai wake