Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Article 5

$
0
0

MWENGE WA UHURU wamaliza Mbio Zake MAKETE NA NJOMBE MJI UMELALA MATOLA,ASUBUHI KUKABIDHIWA LUDEWA

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akikiri kupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe Bi.Esterina Kilasi Anayeonekana Mwanzoni Kulia

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro akipokea mwenge wa uhuru wilayani mwake katika kijiji cha Kimani kata ya Mfumbi wilayani hapo jana Juni 30, 2014
 Wakiagana na kutakiana kila la heri.
Wakijiandaa kuondoka eneo la makabidhiano ya mwenge wa uhuru 2014. Taarifa kamili na picha zote za tukio hilo zitakujia muda si mrefu sana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Trending Articles