MWALIMU AFUNGWA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MWANAFUNZI WAKE
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Njombe imemhukumu kwenda jela miaka thelathini na kuchapwa viboko 30 matakoni mwalimu Romanus Msango wa shule ya msingi Ingwachanya na mkazi wa Lupembe...
View ArticleSERIKALI YACHELEWA MALIPO KWA WAKULIMA NJOMBE
Bi.Rose Mbuya msimamizi wa NFRA kituo cha Ludewa mjini akiwa kazini Bi.Rose Mbuya akiendelea na majukumu ya kila siku Baadhi ya mahindi ambayo yameshanunuliwaWakulima wilayani Ludewa...
View ArticleArticle 1
MGOMO WA MADEREVA DALADALA WA POSTA IRINGA NA IPAMBA watatuliwa. daladala pekee ya Ipamba Posta inayoendelea kufanya kaziMbunge wa jimbo la Iringa mjini akiongozana na madereva haoMbunge wa jimbo...
View ArticleArticle 0
BODI MPYA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA MBEYA YAZINDULIWA Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimkabidhi sanduku lenye vitendea kazi makamu mwenyekiti wa bodi hiyo Msambichaka Mkuu wa mkoa wa Mbeya,...
View ArticleArticle 24
CCM WILYA YA NJOMBE YATAKA KUENDELEZWA KWA MIRADI KATA YA MATOLA.Na Steven Ngole Njombe Chama cha Mapinduzi Wilayani Njombe Kimewataka Wananchi wa Kata ya Matola Kuiendeleza Miradi ya Maendeleo...
View ArticleArticle 23
TISA WAKAMATWA TUKIO LA KUVAMIWA NA KUSHAMBULIWA MJUMBE WA TUME YA KATIBA, DK SENGONDO MVUNGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na...
View ArticleArticle 22
WANANCHI WA KIJOMBE NJOMBE WAKUBALI KUJENGA CHUMBA CHA UZAZI. Hapa ni kijiji cha Isoliwaya Wanging'ombe na njia inayoonekana inaelekea kata ya Kijombe hadi mpakani mwa Wilaya ya Wanging'ombe na...
View ArticleArticle 21
KIFO CHA KUTATANISHA CHATOKEA KIBENA NJOMBE.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency Ngonyani Amethibitisha Kutokea Kwa Matukio Hayo.Na Gabriel Kilamlya NjombeJeshi la Polisi Mkoani Njombe...
View ArticleArticle 20
MSANII WA TAARAB NYAWANA FUNDIKIRA AFARIKI DUNIA. Marehemu Nyawana Fundikira enzi za uhai wake.Msanii wa taarab nchini anayejulikana kwa jina la Nyawana Fundikira aliyetamba na wimbo wa 'Nipo Kamili...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MGODI WA DHAHABU GEITA.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi mgodi unaomilikiwa na kampuni ya Nsagali uliopo Ushirombo wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita jana.Kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini...
View ArticleBREAKING NEWZZZZZZZ
DOKTA SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA AFRIKA KUSINI. Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Mpya na Kiongozi wa NCCR-Mageuzi Dokta Sengondo Mvungi Jana Amefariki Dunia Nchini Afrika Ya...
View ArticleArticle 17
MWILI WA DKT. SENGONDO MVUNGI KUWASILI IJUMAA NOVEMBA 15 2013, KIKWETE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO. Rais Jakaya Kikwete akitia saini kitabu cha maombelezo ya kifo cha Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya...
View ArticleArticle 16
MWANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI UWEMBA NJOMBE APOTEZA MAISHA KWA KUTUMBUKIA MTO HAGAFILO.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe ACP Fulgency NgonyaniWatu Wawili Wamefariki Dunia Mkoani Njombe Katika Matukio...
View ArticleRC NJOMBE AAGIZA KUVUNJWA KWA MAKUNDI KWA MADIWANI WILAYA YA WANGING'OMBE .
.Ni wakati wa Kikao cha kwanza cha baraza la madiwani Katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe Captain Mstaafu Asseri Msangi Akiwasili Kwenye Kikao Cha Kwanza cha Baraza la...
View ArticleArticle 14
VIJANA WA TAMBALANG'OMBE HUKO MALANGALI WAJITOA KIMAENDELEO. HAWA NDIYO VIJANA WACHAPA KAZI LAKINI WAMESEMA WANAKOSA MITAJI YA KUENDESHEA MIRADI YAO. KAZI HII LAKINI INAKWENDA SAMBAMBA NA UHARIBIFU...
View ArticleArticle 12
MAMIA YA WATEJA WA UMEME WA TANESCO NJOMBE WALIA KWA KUCHELEWESHEWA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME. Meneja wa TANESCO Wilaya ya Njombe Mhandisi Emanuel Kachewa Amesema Tatizo Hilo Limetokana na...
View ArticleArticle 11
MENO YA TEMBO YAKAMATWA TENA ZANZIBAR.Meno ya TemboKwa mara nyingine katika kipindi kisichozidi wiki mbili, polisi nchini Tanzania wamenasa shehena kubwa ya meno ya tembo yakiwa yamefichwa katika...
View ArticleArticle 10
BENKI YA NMB TAWI LA NJOMBE YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MILIONI 10.6 HOSPITALI YA KIBENA NJOMBE. Hili Ndilo eneo makabidhiano Yalipofanyika. Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Njombe...
View ArticleArticle 9
WALIOMUUA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE WAHUKUMIWA KUNYONGWA hadi kufa. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Marehemu John Mwankenja, enzi za uhai wakeKushoto Hakimu...
View Article