Quantcast
Channel: GABRIEL KILAMLYA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276
↧

Article 3

$
0
0

MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA  MOSHI MUSSA CHANG'A AFARIKI DUNIA JIONI YA jana

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo enzi za uhai wake Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha familia. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2276

Latest Images

Trending Articles