

wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu
jijini Dar es Salaam leo.Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu
Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya.Pichani Makishna hao Dkt.Angelo Mtitu M apunda
na Mhe.Georgina Mulebya wakila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete(picha na Freddy Maro).