Dr.Slaa Akutana na Makubwa Kahama
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Kahama mara baada ya kuwasili mjini hapo kwa ziara yake ya kichama jana
Dr Slaa akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea mjini Kahama jana. leo Desemba 5, atakuwa Wilaya ya Kakonko, Jimbo la Buyungu na Desemba 6, atakuwa Jimbo la Muhambwe.

